Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mshikilizi wa rekodi ya dunia Ruth Chepngetich pamoja na bingwa mtetezi Peres Jepchirchir, wamejiondoa katika mbio za Marathoni za London, zitakazoandaliwa wikendi ijayo. Chepngetich, mwenye umri wa miaka 30, alikuwa…