Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kikosi cha Kenya kilichonyakua ubingwa wa dunia katika mbio za barabarani mjini Riga ,Latvia kitarejea nchini Jumatatu usiku. Timu hiyo ilinyakua medali 5 za dhahabu,3 za fedha na 4 shaba…