Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Idara ya Mahakama imetengewa shillingi billioni 24.7 katika bajeti ya mwaka 2024-2025, iliyosomwa leo Alhamisi na waziri wa fedha na mipango ya kiuchumi Prof. Njuguna Ndung'u. Akiwasilisha bajeti ya mwaka…