Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Halmashauri ya kukabiliana na utumizi wa mihadarati NACADA,imeendeleza operesheni yake dhidi ya utumizi wa Shisha, huku washukiwa wawili wakinaswa kaunti ya Laikipia kwa kuendesha biashara ya uuzaji bidhaa hiyo iliyoharamishwa…