Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali imetangaza kesho Ijumaa, Novemba 1, 2024 kuwa sikukuu ya taifa. Kupitia kwa gazeti rasmi la serikali, Waziri mwenye Mamlaka Makuu Musalia Mudavadi, alisema hatua hiyo ni kutokana na kuapishwa…