Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali ya Msumbiji imetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kuanzia Alhamisi, tarehe 24 Aprili 2025, kwa heshima ya Papa Francis, aliyefariki dunia Jumatatu mjini Vatican. Uamuzi huo ulifikiwa wakati…