Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mshukiwa wa ulaghai wa dhahabu bandia ya dola za Marekani 600,000 amefikishwa katika mahakama ya Milimani kujibu mashtaka. Ulaghai huo ulimlenga raia wa Australia. Duncan Okaka Okonji alikamatwa Machi 24,…