Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Nairobi United wanaofadhiliwa na serikali ya kaunti wamekuwa na msimu wa kufana baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi ya NSL, na kupandishwa kushiriki ligi kuu FKF PL msimu ujao kwa…