Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Idara ya uhamiaji ina uwezo kuchapisha pasipoti 10,000 kwa siku, ili kukabiliana na mahitaji ya juu ya pasipoti 5,000 kwa siku kote nchini. Kulingana na waziri wa usalama wa kitaifa…