Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Shule za wavulana za Kakamega naYala na vipusa wa Archbishop Njenga leo Jumatatu zimefuzu katika nusu fainali ya soka ya mashindano ya kitaifa baina ya shule za upili mjini Thika. …