Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wizara ya Kilimo imewahakikishia wakulima kwamba kuna mbolea ya kutosha, na kuondoa hofu iliyoibuliwa awali kuhusu upungufu wa bidhaa hiyo. Katibu katika wizara hiyo Dkt. Kipronoh Ronoh, amesema maafisa wa…