Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Utoshelevu wa chakula unasalia kuwa changamoto kuu Barani Afrika, huku mamilioni ya watu wakikabiliwa na baa la njaa na utapia mlo. Nchini Kenya takriban asilimia 30 ya familia zinakumbwa na…