Mawakili wa Diddy wataka hukumu sawa na muda aliozuiliwa

Mawakili wa mwanamuziki aliyezuiliwa Sean "Diddy" Combs wanasema kwamba anastahili kuhukumiwa kifungo cha gerezani kinacholingana na muda ambao amekaa kizuizini. Katika ombi walilowasilisha mahakamani Jumanne, mawakili hao wanasema wanahisi kwamba…

Impressive Mobile First Website Builder

Ready for Core Web Vitals, Support for Elementor, With 1000+ Options Allows to Create Any Imaginable Website. It is the Perfect Choice for Professional Publishers.