Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Gavana wa Makueni Mutula Kilonzo Junior ametoa wito wa hatua za kupambana na msambao wa ugonjwa wa Ebola kuimarishwa zaidi. Ameonya kuwa Makueni hasa inaweza kuwa katika hatari ya kuathiriwa…