Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali ya kaunti ya Kitui inaendesha mikakati mbalimbali kwa lengo la kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi. Waziri wa Mazingira wa kaunti hiyo Richard Mwendandu, amesema kuwa wizara…