Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Washukiwa watatu wanaohusishwa na wizi wa shilingi 169,000 kwenye duka la M-Pesa katika eneo la Katangi, kaunti ndogo ya Yatta wamekamatwa. Mhudumu wa duka hilo aliibiwa fedha hizo Mei 15,…