Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali ya Kenya imelegeza kwa muda masharti kuhusu ubora wa mafuta yanayoingizwa nchini humo katika juhudi za kuepusha uhaba wa bidha hiyo muhimu. Hatua hiyo inajiri baada ya usambazaji wa…