Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto, amesema serikali imejitolea kulinda kikamilifu haki ya kila mkenya ya kushiriki maandamano kwa njia ya amani. Akizungumza Jumatatu katika Ikulu ya Nairobi kwenye hafla ya kupokea ripoti…