Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Safari ya miaka kumi ya klabu ya Kariobangi Sharks, kushiriki Ligi Kuu ya Kenya imetamatika ghafla siku ya Jumapili, baada ya kushushwa ngazi. Sharks ambao walikuwa katika nafasi ya 16…