Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Viongozi wa kaunti ya Laikipia wamepinga vikali pendekezo la ujenzi wa kituo cha karantini cha wagonjwa wa Ebola mjini Nanyuki. Wakiongozwa na Gavana wa Laikipia Joshua Irungu, viongozi hao walikataa…