Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela baada ya kupatikana na hatia ya kula njama ya uhalifu katika kesi inayohusiana na mamilioni ya euro…