Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Huduma ya taifa ya polisi imetoa onyo kali dhidi ya waandamanaji kuvamia majengo ya serikali. Kupitia kwa taarifa Alhamisi alasiri, Inspekta jenerali wa polisi Japhet Koome amesema, licha ya kuwa…