Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kenya imethibitisha tena dhamira yake ya kuimarisha miundombinu ya kidijitali na kupokea teknolojia ibuka ili kuchochea ukuaji wa uchumi na kuiweka nchi katika nafasi ya kuwa kitovu kinachoongoza cha kidijitali…