Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Timu ya taifa ya raga kwa wachezaji saba kila upande iliyopandishwa ngazi jana, itashiriki mashindano ya msururu wa kwanza wa dunia ya Singapore, mapema mwakani. Shujaa iliyoshushwa ngazi mwishoni mwa…