Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Idara ya GSU imeshirikiana na tawi la FKF Nairobi West kuandaa mechi za kirafiki kama njia ya kukuza soka mashinani na kuboresha ushirikiano baina ya maafisa wa polisi na jamii.…