Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars imeikomoa Grenada magoli matatu kwa nunge katika mchuano wa kirafiki maarufu kama FIFA Series, uliosakatwa Jumatatu jioni katika uwanja wa Amahoro mjini Kigali,…