Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye, anatarajiwa kufikishwa mahakamani leo mjini Kampala kuanza kusikilizwa kwa kesi ya uhaini inayomkabili. Besigye na msaidizi wake, Obeid Lutale, wanakabiliwa na mashtaka ya…