Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mike Kibwage alifungua usiku wa karamu ya magoli kunako dakika ya 33 kabla ya Patrick Essombe,kutanua uongozi kwa goli la pili dakika mbili baadaye huku The Green Army wakiongoza 2-0,…