Mabondia wanne wa Kenya walinyakua nishani za dhahabu katika makala ya kwanza ya mashindano ya kuwania ubingwa wa masumbwi Afrika yaliyokamilika katika uwanja wa Kasarani.
Grace Atieno alinyakua dhahabu katika uzani wa Fly,Juliet Opondo, uzani wa Light Fly,Rosemarion Otieno uzani wa Light ,na Friza Anyango mkatiuka uzani wa Light Middle.
Kenya ilitwaa ubingwa kwa jumla ya medali 14,dhahabu 5 fedha 3 na shaba sita ikifuatwa na Algeria iliyomaliza ya pili kwa dhahabu 5,fedha 3 na shaba 1.
Uganda iliridhia nafasi ya tatu huku zaidi ya mabondia 150 kutoka mataifa 10th 5 wakishiriki.