Inakadiriwa kwamba kuna takriban wazee milioni nane duniani wanaoathirika na shinikizo la kawaida la hydrocephalus yaani (Normal Pressure Hydrocephalus), huku idadi kubwa ikisalia bila kutambuliwa au kunyimwa matibabu wanayohitaji kuokoa maisha.
https://art19.com/shows/daktari-wa-radio/episodes/7cc20379-08d4-4666-a53d-95048cd4d239