Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, amezitaka Marekani na Iran kusitisha mapigano na kurejea kwenye meza ya mazungumzo. "Katibu Mkuu amekuwa na wasiwasi kwa muda sasa…