Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wanaume watatu nchini Nigeria wamehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kukiri makosa yanayohusiana na utekaji wa makumi ya wanafunzi na walimu katika jimbo la Oyo, kusini-magharibi mwa nchi. Watuhumiwa…