Polisi wateketeza mihadarati ya thamani ya shilingi bilioni 8.2

Mihadarati hiyo iliyoteketezwa aina ya methamphetamine yenye uzani wa kilo 1,000, ilinaswa mwezi Oktoba mwaka 2025 na maafisa kutoka asasi mbalimbali za usalama katika bahari hindi.

Impressive Mobile First Website Builder

Ready for Core Web Vitals, Support for Elementor, With 1000+ Options Allows to Create Any Imaginable Website. It is the Perfect Choice for Professional Publishers.