Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali iko mbioni kuboresha uratibu, ufadhili na ushirikishaji wa umma katika mpango wake wa mawasiliano chini ya Sera ya Mawasiliano ya Serikali Kuu. Hayo yamesemwa na Katibu wa Idara ya…