Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Idara ya Trafiki imefanya kampeni ya kitaifa ya uhamasisho wa usalama barabarani wakati ambapo kumekuwa visa vilivyoongezeka vya ajali zinazotokea katika maeneo mbalimbali nchini. Kampeni hiyo ilifanywa jana Jumatatu na…