Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Halmashauri ya Kilimo na Chakula (AFA), imeanzisha msako wa kuwafurusha wafanyabiashara haramu wa Macadamia katika kaunti 14 hapa nchini. Operesheni hiyo inalenga kuwakinga wakulima dhidi ya kuhadaiwa, kudumisha viwango vya…