Samson Adamu amethibishwa kuwa Katibu Mkuu wa shirikisho la soka barani Afrika (CAF), baada ya kuwa kaimu tangu mwezi Machi mwaka huu.
Uthibitisho wa Adamu ulitangazwa kufuatia kikao cha kamati kuu ya CAF.
Adamu aliteuliwa kuwa kaimu Katibu Mkuu kufuatia kustaafu kwa Veron Mosengo Omba.