Namibia yakamilisha kulipa mkopo wa IMF

Dismas Otuke
0 Min Read

Namibia imekamilisha kulipa mkopo wake wa shirika la kimataifa la fedha -IMF.

Kulingana na takwimu Namibia, ililipa deni lote la IMF la dola 23,887,5000, kufikia mwishoni mwa mwezi Machi mwaka huu.

Namibia ni nchi ya pili Afrika, kumaliza kulipa mkopo wake wiki kadhaa baada ya Msumbiji, kukamlisha deni lake la dola milioni 701,ililokuwa ikidaiwa na IMF.

TAGGED:
Share This Article