Rais Donald Trump wa Marekani ameapa kuiadhibu vikali Iran endapo itakiuka mwafaka wa kusitisha mapigano.
Haya yanajiri huku Lebanon ikitangaza siku ya kitaifa ya maombolezo kufuatia mashambulizi ya Israel yaliyosababisha vifo zaidi ya 200 na wengine zaidi ya 1,000 wakiuawa.
Marekani ilisitisha mashambulizi baada ya Iran kukubali kusitisha mapigano.