Marekani yatoa ilani ya saa 48 kwa Iran kusaini mkataba wa kusitisha  vita

Dismas Otuke
0 Min Read

Marekani imetoa ilani ya saa 48  kwa Iran, kusitisha vita na kusaini mwafaka wa kusitisha vota la sivyo ishambuliwe  vilivyo.

Rais Donald Trump amesema kuwa muda unayoyoma kwa Iran kusalimu amri la sivyo ataikabili vikali.

Wakati uo huo Marekani imesema inaednelea kumtafuta rubani wa ndege  kivita aina ya jet iliyotunguliwa jana nchini Iran.

 

Share This Article