Jeshi la Iran limekiri kuangusha ndege ya pili ya kivita ya Marekani ya F-35 iliyokuwa ikitua katika anga yake.
Iran imesema ndege hiyo aina ya Jet, iliharibiwa vibaya na hawajapata taarifa zozote kuhusu rubani wake kutokana na uharibifu mkubwa uliofanywa.
Aidha, Iran imefutilia mbali uwezekano wa rubani kunusurika kutokana na moto mkubwa wa mlipuko wa ndege hiyo.
Hata hivyo, Marekani haijajibu madai hayo ya Iran baada ya kukanusha madai ya awali ya kuangushwa kwa ndege ya kwanza.