Droni za Iran zimeshambulia kiwanda kikubwa cha kuzalisha mafuta nchini Kuwait kwa siku ya pili leo katika kile kinachoonekana kama jaribio la kusababisha upungufu wa mafuta duniani.
Milipuko mikubwa na moto imesikika Ijumaa nchini Kuwait, huku pia Israel ikiendeleza mashambulizi yake ya angani dhidi ya Iran katika mji mkuu wa Tehran.
Kiwanda hicho kinaaminika kuzalisha mapipa 730,000 kwa kila siku.