Timu ya taifa ya Iran imetangaza kujindoa rasmi kushiriki fainali za Kombe la Dunia zitakazoandaliwa mwezi Juni hadi Julai mwaka huu na mataifa ya Marekani,Canada na Mexico.
Waziri wa michezo wa Iran aliapa jana kuwa wamejiondoa baada ya Marekani kushirikiana na Israel kushamnulia Iran na kumuua kiongozi wao wa kidini Ayatollah Khamenei.
Iran imejumuishwa kundi G katika fainali za kombe la dunia zitaandaliwa nchini Iran kati ya Juni 11 na Julai 19 mwaka huu.
Aidha Iran waliratibiwa kucheza mechi zote za makundi nchini Marekani.