Matukio ya Taifa: Mgomo wa wahudumu wa afya waanza rasmi Busia

radiotaifa
0 Min Read

Shughuli za matibabu katika kaunti ya Busia ziliathirika kufuatia mgomo wa wahudumu wa afya ambao wamelalamikia kutotimizwa kwa haki zao.

https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/90c52154-3184-4a7b-ab9b-fd0371b45849

Share This Article