Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Starlets watafungua Kombe la Dunia Oktoba 19 kundini E,dhidi ya China,kabla ya kuvaana na Marekani Oktoba 22 na kukamilisha mechi za makundi dhidi ya Samoa tarehe 25 Oktoba .