Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Saudi Arabia imejiunga na Marekani katika mashambulizi dhidi ya kundi la wanamgambo wanaoungwa mkono na Iran nchini Iraq, katika hatua inayoweza kuongeza mvutano wa mzozo wa Mashariki ya Kati. Kamandi…