Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto ameanza ziara yake ya kisiasa katika kaunti ya Kajiado mapema Alhamisi, huku akiwahimiza wakazi kuepuka siasa za uchochoezi na propaganda. Ruto alianza ziara hiyo kwa kukagua barabara…