Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imewakamata watu wawili wanaodaiwa kuitisha na kupokea pesa kutoka kwa mtu anayechunguzwa na tume hiyo. Walionaswa na mkono mrefu wa sheria ni…