Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wakulima wa miwa magharibi mwa nchi wameunga mkono uamuzi wa Waziri wa Kilimo Mutahi Kagwe kuahirisha uchaguzi wa Bodi ya Sukari nchini, KSB. Uchaguzi huo ulikusudiwa kuandaliwa Sptemba 5 mwaka…