Awamu ya pili ya mradi wa NYOTA yazinduliwa, vijana wanufaika

Kwa pamoja, vijana wajasiriamali zaidi ya 122,000 katika kaunti zote 47 hii leo wanapokea msaada wa biashara wa zaidi ya shilingi bilioni 3.

Impressive Mobile First Website Builder

Ready for Core Web Vitals, Support for Elementor, With 1000+ Options Allows to Create Any Imaginable Website. It is the Perfect Choice for Professional Publishers.